# waongo "watu waongo" au "wale ambao ni waongo" # Utajiri ni ubatili kwenye siku ya ghadhabu siku ya ghadhabu ni "siku ya hukumu" au "siku za mwisho". "utajiri wa mtu hatamsaidi wakati Mungu atakapokuja kuhukumu"