sw_tn/pro/10/12.md

12 lines
249 B
Markdown

# upendo hufunika
upendo hutenda kazi sawa na mtu huondoa shida kati ya watu badala ya kuichochea.
# kwenye midomo ya mtu mwenye ufahamu
"ambayo mtu mwenye akili husema"
# fimbo ni kwa ajili ya mgongo
"mtu asiye na akili anahitaji adhabu kali"