# upendo hufunika upendo hutenda kazi sawa na mtu huondoa shida kati ya watu badala ya kuichochea. # kwenye midomo ya mtu mwenye ufahamu "ambayo mtu mwenye akili husema" # fimbo ni kwa ajili ya mgongo "mtu asiye na akili anahitaji adhabu kali"