sw_tn/pro/09/13.md

20 lines
449 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii inaanza kuelezea upumbavu ambao umepewa sifa ya binadamu kama mwanamke
# mwanamke mpumbavu
" upumbavu wa mwanamke"
# hajafundishwa na hafahau kitu
Maana yake mwanamke mpumbavu asiyefaa " Hajui kitu chochote kabisa"
# hajafundishwa
"Hajajifunza kutokana na auzoefu" au " Ni kijana na mjinga"
# hutembea kwa unyofu katika njia yao
Hii ni nahau "Hufikira mambo yao mwenyewe tu" au " hujali shughuli zao wenyewe"