# Maelezo ya Jumla Mistari hii inaanza kuelezea upumbavu ambao umepewa sifa ya binadamu kama mwanamke # mwanamke mpumbavu " upumbavu wa mwanamke" # hajafundishwa na hafahau kitu Maana yake mwanamke mpumbavu asiyefaa " Hajui kitu chochote kabisa" # hajafundishwa "Hajajifunza kutokana na auzoefu" au " Ni kijana na mjinga" # hutembea kwa unyofu katika njia yao Hii ni nahau "Hufikira mambo yao mwenyewe tu" au " hujali shughuli zao wenyewe"