sw_tn/pro/09/05.md

24 lines
538 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii inaendeleza ujumbe wa Hekima
# njoo...kula...kunywa...ondoka ..ishi ...tembea
Mri hizi zote zipo kwenye wingi; Hekima anahutubia watu wengi kwa wakati mmoja.
# mvinyo niliouchanganya
katika Israeli ya kale watu walichanganya mvinyo kwa maji "ameandaa mvinyo wake kwa kuuchanganya kwa maji"
# acheni matendo ya ujinga
"acheni tabia yenu ya ujinga"
# matendo ya ujinga
"bila uzoefu, isiye na ukomavu au mwenye hali ya uchanga"
# njia ya ufahamu
"namna ya kuishi ambayo mtu mwenye busara huishi"