# Maelezo ya Jumla Mistari hii inaendeleza ujumbe wa Hekima # njoo...kula...kunywa...ondoka ..ishi ...tembea Mri hizi zote zipo kwenye wingi; Hekima anahutubia watu wengi kwa wakati mmoja. # mvinyo niliouchanganya katika Israeli ya kale watu walichanganya mvinyo kwa maji "ameandaa mvinyo wake kwa kuuchanganya kwa maji" # acheni matendo ya ujinga "acheni tabia yenu ya ujinga" # matendo ya ujinga "bila uzoefu, isiye na ukomavu au mwenye hali ya uchanga" # njia ya ufahamu "namna ya kuishi ambayo mtu mwenye busara huishi"