sw_tn/pro/09/03.md

32 lines
795 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii inaanza kutoa ujumbe wa Hekima, ambayo imepewa sifa ya mtu mwanamke.
# amewatuma wafanya kazi wake
Hawa wafanyakazi walikwenda na kuwakaribisha watu kuja kwenye sherehe ambayo Hekima ametayarisha.
# wafanya kazi wake
Vijana wa kike au wasichana ambao wapo kwenye huduma ya heshima, mwanamke mzima, kama vile Hekima.
# anaita
" anatangaza" au " anawaalika". "kwa sauti kuu anarudia kuwakaribisha"
# sehemu ya juu kabisa ya mji
Mwaliko unatangazwa kwenye sehemu ya juu kabisa ili watu wote wausikie vizuri
# nani ambaye ni mjinga?...mtu alinayepungukiwa na akili njema
" mtu yeyote ambaye ni mjinga,...yeyote anayepungukiwa na akili njema"
# ni mjinga
"bila uzoefu, isiyo komavu/uchanga"
# ageukie hapa
" aiache njia yake na aje kwenye nyumba yangu"