# Maelezo ya Jumla Mistari hii inaanza kutoa ujumbe wa Hekima, ambayo imepewa sifa ya mtu mwanamke. # amewatuma wafanya kazi wake Hawa wafanyakazi walikwenda na kuwakaribisha watu kuja kwenye sherehe ambayo Hekima ametayarisha. # wafanya kazi wake Vijana wa kike au wasichana ambao wapo kwenye huduma ya heshima, mwanamke mzima, kama vile Hekima. # anaita " anatangaza" au " anawaalika". "kwa sauti kuu anarudia kuwakaribisha" # sehemu ya juu kabisa ya mji Mwaliko unatangazwa kwenye sehemu ya juu kabisa ili watu wote wausikie vizuri # nani ambaye ni mjinga?...mtu alinayepungukiwa na akili njema " mtu yeyote ambaye ni mjinga,...yeyote anayepungukiwa na akili njema" # ni mjinga "bila uzoefu, isiyo komavu/uchanga" # ageukie hapa " aiache njia yake na aje kwenye nyumba yangu"