sw_tn/pro/09/01.md

20 lines
522 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mistari hii inatoa mfano ambayo hekima inafikiriwa kuwa mwanamke anayetoa ushauri mzuri kwa watu.
# Hekima ameijenga nyumba yake
Mwandishi anazungumza kuhusu hekima kana kwamba ni mwanamke ambaye ameijenga nyumba yake mwenyewe.
# Amechinja wanyama wake
"amechinja wanyama kwa ajili ya nyama kwa chakula chajioni"
# amechanganya mvinyo wake
katika Israeli ya kale watu walichanganya mvinyo kwa maji "ameandaa mvinyo wake kwa kuuchanganya kwa maji"
# Ameandaa meza yake
"ametayarisha meza yake"