# Maelezo ya Jumla Mistari hii inatoa mfano ambayo hekima inafikiriwa kuwa mwanamke anayetoa ushauri mzuri kwa watu. # Hekima ameijenga nyumba yake Mwandishi anazungumza kuhusu hekima kana kwamba ni mwanamke ambaye ameijenga nyumba yake mwenyewe. # Amechinja wanyama wake "amechinja wanyama kwa ajili ya nyama kwa chakula chajioni" # amechanganya mvinyo wake katika Israeli ya kale watu walichanganya mvinyo kwa maji "ameandaa mvinyo wake kwa kuuchanganya kwa maji" # Ameandaa meza yake "ametayarisha meza yake"