sw_tn/pro/07/24.md

16 lines
376 B
Markdown

# Sasa
Hii ni kuleta usikivu kwa wana wa msemaji anapohitimisha funzo hili
# Moyo wako usizigeukie njia zake
"moyo wako ukae mbali kutoka kwenye njia za mwanamke malaya" au " Usiruhusu moyo wako ufanye mambo ambayo mwanamke malaya hufanya"
# moyo wako
Hapa moyo unawakilisha matamanio ya mtu
# usipotee katika njia zake
"usiiache njia sahihi ili kuzifuata njia zake"