# Sasa Hii ni kuleta usikivu kwa wana wa msemaji anapohitimisha funzo hili # Moyo wako usizigeukie njia zake "moyo wako ukae mbali kutoka kwenye njia za mwanamke malaya" au " Usiruhusu moyo wako ufanye mambo ambayo mwanamke malaya hufanya" # moyo wako Hapa moyo unawakilisha matamanio ya mtu # usipotee katika njia zake "usiiache njia sahihi ili kuzifuata njia zake"