sw_tn/pro/07/13.md

20 lines
304 B
Markdown

# yeye
Yeye inawakilisha mwanamke ambaye alitajwa katika 7:10
# akamshika
"alimshikilia kwa nguvu"
# kwa uso na haya
"kwa uso usiokuwa na hisia za aibu"
# Mimi nimelipa nadhiri zangu
"nimetimiza dhabihu zangu nilizoahidi kwa Mungu"
# kuutafuta uso wako
"kukutafuta" au "kukutafuta mahali ulipo"