# yeye Yeye inawakilisha mwanamke ambaye alitajwa katika 7:10 # akamshika "alimshikilia kwa nguvu" # kwa uso na haya "kwa uso usiokuwa na hisia za aibu" # Mimi nimelipa nadhiri zangu "nimetimiza dhabihu zangu nilizoahidi kwa Mungu" # kuutafuta uso wako "kukutafuta" au "kukutafuta mahali ulipo"