sw_tn/pro/07/10.md

16 lines
376 B
Markdown

# mwenye moyo wa uongo
Hapa "moyo" unamaanisha makusudi au mipango " mwanamke anakusudia kumdanganya mtu"
# Alikuwa mwenye kelele na ukaidi
"aliongea kwa sauti sana na kutenda kwa namna aliyopenda"
# miguu yake haikutulia nyumbani
"hakukaa nyumbani"
# alisubiri kuvizia
"alisubiri kumnasa mtu"au "alisubiri ili ampate mtu ambaye ataweza kumshawishi kutenda dhambi"