# mwenye moyo wa uongo Hapa "moyo" unamaanisha makusudi au mipango " mwanamke anakusudia kumdanganya mtu" # Alikuwa mwenye kelele na ukaidi "aliongea kwa sauti sana na kutenda kwa namna aliyopenda" # miguu yake haikutulia nyumbani "hakukaa nyumbani" # alisubiri kuvizia "alisubiri kumnasa mtu"au "alisubiri ili ampate mtu ambaye ataweza kumshawishi kutenda dhambi"