sw_tn/pro/06/26.md

20 lines
523 B
Markdown

# bei ya kipande cha mkate
Hapa inaongelea gharama ya vitu siyo gharama ya kiroho au gharama ya maadili "kidogo"
# atagharimu uhai wako
"mke wa mtu mwingine ataangamiza maisha yako kwa sababu kila wakati anahitaji zaidi" au "mume wa mke atakuwinda na atakuua"
# Mtu anaweza kubeba moto kwenye kifua chake bila kuunguza nguo zake?
Jibu ni hapana "Kila mume ambaye hubeba moto kwenye kifua chake ataunguza nguo zake."
# bila kuunguza
"bila kuteketeza" au "bila kuharibu"
# nguo zake
nguo zinawakilisha mtu mwenyewe.