# bei ya kipande cha mkate Hapa inaongelea gharama ya vitu siyo gharama ya kiroho au gharama ya maadili "kidogo" # atagharimu uhai wako "mke wa mtu mwingine ataangamiza maisha yako kwa sababu kila wakati anahitaji zaidi" au "mume wa mke atakuwinda na atakuua" # Mtu anaweza kubeba moto kwenye kifua chake bila kuunguza nguo zake? Jibu ni hapana "Kila mume ambaye hubeba moto kwenye kifua chake ataunguza nguo zake." # bila kuunguza "bila kuteketeza" au "bila kuharibu" # nguo zake nguo zinawakilisha mtu mwenyewe.