sw_tn/pro/06/22.md

16 lines
506 B
Markdown

# Wakati unapotembea... unapolala... unapoamka
Hii inasisitiza kuwa masomo yanathamani muda wote
# yatakuongoza... yatakulinda...yatakufundisha
mwandishi anarudia rudia kuonesha kuwa masomo haya yanathamani kwa vitu vya namna yoyote.
# taa..mwanga...njia ya uzima
masomo yanafanya maisha kuwa mazuri na rahisi." yana faida kama taa...yanasidia kama mwanga katika giza..ni muhimu kuyafuta kama njia ya kuishi"
# njia ya uzima
"njia inayoenda kwenye uzima" au "njia ya kuishi ambayo Mungu ameiruhusu"