# Wakati unapotembea... unapolala... unapoamka Hii inasisitiza kuwa masomo yanathamani muda wote # yatakuongoza... yatakulinda...yatakufundisha mwandishi anarudia rudia kuonesha kuwa masomo haya yanathamani kwa vitu vya namna yoyote. # taa..mwanga...njia ya uzima masomo yanafanya maisha kuwa mazuri na rahisi." yana faida kama taa...yanasidia kama mwanga katika giza..ni muhimu kuyafuta kama njia ya kuishi" # njia ya uzima "njia inayoenda kwenye uzima" au "njia ya kuishi ambayo Mungu ameiruhusu"