forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
714 B
Markdown
24 lines
714 B
Markdown
# maji kutoka katika birika lako mwenyewe ... maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima chako mwenyewe
|
|
|
|
Mwandishi anazunguza juu ya mume kulala na mke wake pekee kana kwamba ni kunywa maji kutoka kwenye kisima au birika lake mwenyewe.
|
|
|
|
# maji yanayotiririka
|
|
|
|
"maji mapya" au "maji ya kutiririka"
|
|
|
|
# yapasa chemchemi zako ... miferji yako ya maji itiririke katika njia kuu?
|
|
|
|
"Chemchemi yako haipaswi ...mifereji yako ya majiji haipaswi kutiririka katika njia kuu"
|
|
|
|
# njia kuu
|
|
|
|
maeneo ya wazi katika jiji au mjini ambapo miji miwili au zaidi inapokutana. Sehemu ya kawaida watu kukutana na kuongea.
|
|
|
|
# Yawe
|
|
|
|
hii nahusu chemchemi na mifereji ya maji
|
|
|
|
# wala si kwa ajili ya wageni pamoja nawe
|
|
|
|
"usichangie na wageni"
|