sw_tn/pro/05/11.md

20 lines
416 B
Markdown

# nyama yako na mwili wako vikateketea
"mwili wako ukapotelea mbali" au "ukapotea"
# vikateketea
"kuchoka kimwili" au "kuwa dhaifu na afya mbaya"
# Mimi nilichukia mafundisho ... moyo wangu ulidharau kusahihishwa
huyu mtu alichukia alichoambiwa na walimu wake
# jinsi gani nilichukia mafundisho
"nilichukia sana wakati mtu aliponielekeza"
# moyo wangu ulidharau masahihisho
"Niliwadharau watu waliponionya"