# nyama yako na mwili wako vikateketea "mwili wako ukapotelea mbali" au "ukapotea" # vikateketea "kuchoka kimwili" au "kuwa dhaifu na afya mbaya" # Mimi nilichukia mafundisho ... moyo wangu ulidharau kusahihishwa huyu mtu alichukia alichoambiwa na walimu wake # jinsi gani nilichukia mafundisho "nilichukia sana wakati mtu aliponielekeza" # moyo wangu ulidharau masahihisho "Niliwadharau watu waliponionya"