sw_tn/pro/05/07.md

24 lines
395 B
Markdown

# Sasa
Hapa walimu anaondoka katika hali na kuonya juu ya umalaya na kuanza kutoa ushauri.
# nisikilize... usiache kusikiliza
sikiliza
# usiache kusikiliza
"usikome kusikiliza"
# maneno ya kinywa changu
"maneno yangu"
# njia yako iweke mbali naye
"kaa mbali naye"
# usiukaribie mlango wa nyumba yake
"usiende karibu na mlango wa nyumba yake" au " hata usisogee karibu na nyumba yake"