# Sasa Hapa walimu anaondoka katika hali na kuonya juu ya umalaya na kuanza kutoa ushauri. # nisikilize... usiache kusikiliza sikiliza # usiache kusikiliza "usikome kusikiliza" # maneno ya kinywa changu "maneno yangu" # njia yako iweke mbali naye "kaa mbali naye" # usiukaribie mlango wa nyumba yake "usiende karibu na mlango wa nyumba yake" au " hata usisogee karibu na nyumba yake"