sw_tn/pro/04/07.md

32 lines
690 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Baba anamalizia kuwafundisha watoto wake yale ambayo alifunzwa na baba yake.
# tumia mapata yako yote kujipatia ufahamu
"thamini ufahamu zaidi kuliko yote unayoyamiliki"
# mtunze hekima na yeye atakutukuza
"kama utamlea hekima, atakupa heshima kubwa"
# mtunze
kujihisi au kuonyesha upendo mkuu kwamtu au kitu
# atakuheshimu endapo utamkumbatia
"kama utapenda sana hekima, hekima itasababisha watu wakuheshimu"
# ataweka kilemba cha heshima juu ya kichwa chako
"Hekima itakuwa kama kilemba juu ya kichwa chako ambacho huonesha heshima kuu"
# Kilemba
duara iliyofumwa kwa majani au maua
# atakupatia taji zuri
" hekima ni kama taji zuri juu ya kichwa chako"