# Maelezo ya Jumla Baba anamalizia kuwafundisha watoto wake yale ambayo alifunzwa na baba yake. # tumia mapata yako yote kujipatia ufahamu "thamini ufahamu zaidi kuliko yote unayoyamiliki" # mtunze hekima na yeye atakutukuza "kama utamlea hekima, atakupa heshima kubwa" # mtunze kujihisi au kuonyesha upendo mkuu kwamtu au kitu # atakuheshimu endapo utamkumbatia "kama utapenda sana hekima, hekima itasababisha watu wakuheshimu" # ataweka kilemba cha heshima juu ya kichwa chako "Hekima itakuwa kama kilemba juu ya kichwa chako ambacho huonesha heshima kuu" # Kilemba duara iliyofumwa kwa majani au maua # atakupatia taji zuri " hekima ni kama taji zuri juu ya kichwa chako"