sw_tn/pro/03/21.md

16 lines
287 B
Markdown

# usiyapoteze kwenye upeo
usiyasahau
# Yatakuwa uzima nafsini mwako
yatakuwa uzima kwa ajili yako
# urembo wa kuvutia wa kuvaa shingoni mwako
kuonekana unavutia kama mtu ambavyo hujiremba mwenyewe kwa mikufu ya shingoni
# urembo wa kuvutia
urembo ambao huonyesha kibali cha Yahwe