# usiyapoteze kwenye upeo usiyasahau # Yatakuwa uzima nafsini mwako yatakuwa uzima kwa ajili yako # urembo wa kuvutia wa kuvaa shingoni mwako kuonekana unavutia kama mtu ambavyo hujiremba mwenyewe kwa mikufu ya shingoni # urembo wa kuvutia urembo ambao huonyesha kibali cha Yahwe