sw_tn/pro/03/07.md

12 lines
253 B
Markdown

# usiw wenye busara katika macho yako mwenyewe
"usiwe wenye busara katika mawazo yako mwenyewe"
# geuka mbali kutoka katika uovu
"usitende uovu"
# itakuwa uponyaji katika mwilini mwako
"kama utafanya hivi, itakuwa uponyaji kwa ajili ya mwili wako"