# usiw wenye busara katika macho yako mwenyewe "usiwe wenye busara katika mawazo yako mwenyewe" # geuka mbali kutoka katika uovu "usitende uovu" # itakuwa uponyaji katika mwilini mwako "kama utafanya hivi, itakuwa uponyaji kwa ajili ya mwili wako"