sw_tn/pro/01/01.md

20 lines
373 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Mstari wa 2-23 ni mashairi
# kwa kufunza hekima na mafundisho
"kwa kukufunza jinsi ya kuwa na busara na kukuelekeza namna ya maisha kuishi kwa uadilifu.
# kwa kufunza maneno ya ujuzi
"kwa kukusaidia kufahamu mafundisho ya busara"
# ili kupokea
"ili tuweze kupokea"
# ili kupokea mafundisho kwa ajili ya kuishi
" mpate kufunzwa namna ya kuishi"