# Maelezo ya Jumla Mstari wa 2-23 ni mashairi # kwa kufunza hekima na mafundisho "kwa kukufunza jinsi ya kuwa na busara na kukuelekeza namna ya maisha kuishi kwa uadilifu. # kwa kufunza maneno ya ujuzi "kwa kukusaidia kufahamu mafundisho ya busara" # ili kupokea "ili tuweze kupokea" # ili kupokea mafundisho kwa ajili ya kuishi " mpate kufunzwa namna ya kuishi"