forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
548 B
Markdown
12 lines
548 B
Markdown
# kama mtoto anayemhudumia baba yake, ndivyo alivyotumika pamoja nami
|
|
|
|
Paulo anamzungumzia Timotheo, ambaye alimtumikia Kristo pamoja na Paulo, kana alikuwa mtoto akimhudumia baba yake. Paulo anasisitiza mahusiano ya baba na mtoto alinayo pamoja na Timotheo katika kumtumikia Mungu.
|
|
|
|
# katika injili
|
|
|
|
Hapa "injili" inasimama kama kazi ya kuwaambia watu kuhusu Yesu. "katika kuwaambia watu kuhusu injili"
|
|
|
|
# Nina hakika katika Bwana kwamba mimi mwenyewe nitakuja hivi karibuni
|
|
|
|
"Ninauhakika, kama ni mapenzi ya Bwana, kwamba nitakuja hivi karibuni"
|