sw_tn/php/02/01.md

28 lines
605 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anawashauri waamini kuwa katika hali ya umoja na unyenyekevu na kuwakumbusha mfano wa Kristo.
# Ikiwa
"Ninaamini ni kweli"
# ikiwa kuna kutia moyo katika Kristo
"kwamba Kristo amewatia moyo"
# ikiwa kuna faraja kutoka katika pendo lake
"ikiwa pendo lake limekupa faraja"
# ikiwa kuna ushirika wa Roho
"ikiwa una ushirika pamoja na Roho"
# ikiwa kuna rehema na huruma
"ikiwa mmezoea matendo mengi ya Mungu ya huruma na rehema"
# fanya furaha yangu
Paulo hapa anazungumzia furaha kana kwamba kilikuwa kimiminika kinajazwa kwenye kibebeo. "Kumenisababisha kusifu mno"