forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
475 B
Markdown
12 lines
475 B
Markdown
# na msitishwe na kitu chochote
|
|
|
|
hili ni agizo kwa Wakristo wa Filipi kuwa wasiogope kitu chochote.
|
|
|
|
# Hii ni kwao ni ishara ya uharibifu . Bali kwenu ni ishara ya wokovu, kutoka kwa Mungu
|
|
|
|
"Ujasiri wenu utawaonyesha kwamba Mungu atawaharibu. Pia itawaonyesha kwamba Mungu atawaokoa"
|
|
|
|
# kwa maana mna ugomvi uleule kama mlivyoona na ule mnaosikia ninao hata sasa
|
|
|
|
Ndiyo maana mmekuwa na ugomvi ua ushindani uleule kama mlivyoona kwangu na kwa sasa mnasikia kuwa bado ninao.
|