sw_tn/php/01/15.md

32 lines
922 B
Markdown

# kwa hakika, hata Baadhi yao humtangaza Kristo
"Baadhi ya watu huhubiri habari njema ya Yesu"
# kwa wivu na ugomvi
"kwasababu hawapendi watu wanisikilize mimi na wanapenda kusababisha matatizo"
# wengine kwa nia njema
"lakini watu wengine hufanya hivyo kwasababu ni wapole na wanapenda kunisaidia"
# mwishoni mwa hotuba yake
"Wale ambao wanamtangaza Kristo kwa nia mbaya"
# Nimewekwa hapa kwa ajili ya kuitetea injili
Hii inaweza kuanza kwa muundo tendaji. Maana zinazowezekana ni 1) "Mungu amenichagua kuitetea injili" au 2) "nipo gerezani kwa sababu naitetea injili."
# kwa ajili ya kutetea injili
"kumhubiri kila mmoja kuwa uhabari za Yesu Kristo ni za kweli"
# Bali wengine wamtangaza Kristo
"bali wengine" au "bali mwingine anamuhubiri Kristo nje kwa hila na vita
# wakati nipo katika minyororo yangu
Hapa neno "minyororo" linasimama badala ya kifungo. "while nimimefungwa" au "wakati nimefungwa"