# kwa hakika, hata Baadhi yao humtangaza Kristo "Baadhi ya watu huhubiri habari njema ya Yesu" # kwa wivu na ugomvi "kwasababu hawapendi watu wanisikilize mimi na wanapenda kusababisha matatizo" # wengine kwa nia njema "lakini watu wengine hufanya hivyo kwasababu ni wapole na wanapenda kunisaidia" # mwishoni mwa hotuba yake "Wale ambao wanamtangaza Kristo kwa nia mbaya" # Nimewekwa hapa kwa ajili ya kuitetea injili Hii inaweza kuanza kwa muundo tendaji. Maana zinazowezekana ni 1) "Mungu amenichagua kuitetea injili" au 2) "nipo gerezani kwa sababu naitetea injili." # kwa ajili ya kutetea injili "kumhubiri kila mmoja kuwa uhabari za Yesu Kristo ni za kweli" # Bali wengine wamtangaza Kristo "bali wengine" au "bali mwingine anamuhubiri Kristo nje kwa hila na vita # wakati nipo katika minyororo yangu Hapa neno "minyororo" linasimama badala ya kifungo. "while nimimefungwa" au "wakati nimefungwa"