sw_tn/php/01/12.md

40 lines
1.5 KiB
Markdown

# Maelezo ya Ujumla
Paulo anasema kwamba mambo mawili yametokea kwa sababu ya "maendeleo ya injili": watu wengi ndani na nje waligundua kwa nini yuko gerezani, na Wakristo wengine hawana hofu kuhubiri habari njema.
# sasa nataka
hapa neno" sasa" limetumika kuonesha mwanzo mpya wa barua
# ndugu
hapa linamaanisha wakristo wenzake, likijumuisha wanaume na wanawake, kwa kuwa wauimini wote katika Kristo ni viungo katika familia moja ya kiroho, pamoja na Mungu, baba yao wa mbinguni.
# mambo yaliyotukia kwangu
Paulo anazungumzia muda alipokuwa gerezani. mateso niliyoyapata kwasababu nilikuwa nimewekwa gerezani kwa sababu ya kumhubiri Yesu.
# yameifanya injili iendelee sana
"yamesababisha watu wengine kumwamini Yesu"
# kifungo changu changu katika Kristo kimejulikana
"Minyororo katika Kristo" ni neno linalosimama badala ya kuwa gerezani kwa ajli ya Kristo. "Kumejulikana" ni mfano kwa "kujulika." "Ilijulikana kwamba nipo katika minyororo kwa ajili ya Kristo"
# minyororo yangu katika Kristo imejulikana...walinzi...yeyote mwingine
Hii inaweza kuanza muundo wa utendaji. "walinzi wote wa ikulu na watu wengi katika Rumi wanajua kwamba nipo katika minyororo kwa ajili ya Kristo"
# minyororo yangu katika Kristo
Hapa Paulo anatumia kihusishi "katika" kumaanisha "kwa ajili ya." "minyororo yangu kwa ajili ya Kristo" au "minyonyororo yangu kwasababu nafundisha watu kuhusu Kristo"
# minyororo yangu
Hapa neno "minyororo" linasimama badala "kifungo. "kifungo changu"
# ikulu
Hili ni kundi la maaskari waliosaidia kulinda utawala wa Rumi.