sw_tn/oba/01/20.md

409 B

Wahamiaji wa jeshi hili la watu wa Israeli

"Wale wa jeshi la watu wa Israeli ambao walikuwa uhamishoni"

Jeshi

Kundi kubwa la watu

Zarefati

Hili ni jina la mji wa Foinike huko pwani ya Mediterranean kati ya Tiro na Sidoni.

Sefaradi

Hii ndiyo jina la mahali ambako eneo halijulikani.

waokoaji

Hii inahusu viongozi mbalimbali wa kijeshi wa Israeli ambao Mungu atatumia kushinda taifa la Edomu