sw_tn/oba/01/20.md

20 lines
409 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Wahamiaji wa jeshi hili la watu wa Israeli
"Wale wa jeshi la watu wa Israeli ambao walikuwa uhamishoni"
# Jeshi
Kundi kubwa la watu
# Zarefati
Hili ni jina la mji wa Foinike huko pwani ya Mediterranean kati ya Tiro na Sidoni.
# Sefaradi
Hii ndiyo jina la mahali ambako eneo halijulikani.
# waokoaji
Hii inahusu viongozi mbalimbali wa kijeshi wa Israeli ambao Mungu atatumia kushinda taifa la Edomu