sw_tn/oba/01/01.md

20 lines
426 B
Markdown

# Bwana
Hii ni jina la Mungu ambalo aliwafunulia watu wake katika Agano la Kale. Angalia tafsiriKurasa la ukurasa kuhusu Yahweh kuhusu jinsi ya kutafsiri hii.
# mjumbe ametumwa
AT 'Mungu alikuwa amemtuma balozi'
# Inukeni
"simameni" Ukurasa huu umetumika kuwaambia watu kujiandaa.
# Tazama
AT:"tazama" au "sikia" au " jiandae kwa kile ninachotaka kuwaambia"
# mutadharauliwa sana
"watu wa mataifa wata waumiza ninyi"