# Bwana Hii ni jina la Mungu ambalo aliwafunulia watu wake katika Agano la Kale. Angalia tafsiriKurasa la ukurasa kuhusu Yahweh kuhusu jinsi ya kutafsiri hii. # mjumbe ametumwa AT 'Mungu alikuwa amemtuma balozi' # Inukeni "simameni" Ukurasa huu umetumika kuwaambia watu kujiandaa. # Tazama AT:"tazama" au "sikia" au " jiandae kwa kile ninachotaka kuwaambia" # mutadharauliwa sana "watu wa mataifa wata waumiza ninyi"