sw_tn/num/36/05.md

271 B

kwa neno l a BWANA

"kutokana na kile alichosema BWANA"

Acha waolewe na wale ambao wao wanafikiri ni vizuri

"Acha waolewe na wale wanaowataka"

lakini lazima waolewe ndani ya kabila ya baba yao

"lakini ni laziima waolewe na mtu kutoka kwenye kabila la baba yao"