# kwa neno l a BWANA "kutokana na kile alichosema BWANA" # Acha waolewe na wale ambao wao wanafikiri ni vizuri "Acha waolewe na wale wanaowataka" # lakini lazima waolewe ndani ya kabila ya baba yao "lakini ni laziima waolewe na mtu kutoka kwenye kabila la baba yao"