sw_tn/num/36/03.md

564 B

utaondolewa kutoka kwenye mgao wa mababu zao

"kamwe hatutakuwa kwenye mgao wa Mababu zetu"

Utaongezwa

"Utakuwa mali ya"

utaondolewa kwenye mgao uliopangwa kwenye urithi wetu.

"Kamwe hautakuwa sehemu ya urithi wetu"

mwaka wa yubilee ya wana wa Israeli

Hi ni sherehe inayotokea mara moja kila baada ya miaka hamsini. Katika sherehe hii, ardhi yote iliyouzwa lazima arudishiwe mmiliki wake wa kwanza.

mgao wao utaunganishwa

"mgao wao utakuwa mali ya..."

mgao wao utaondolewa kwenye mgao wa mababu zao

"watachukua mgao wa ardhi wa kabila letu"