# utaondolewa kutoka kwenye mgao wa mababu zao "kamwe hatutakuwa kwenye mgao wa Mababu zetu" # Utaongezwa "Utakuwa mali ya" # utaondolewa kwenye mgao uliopangwa kwenye urithi wetu. "Kamwe hautakuwa sehemu ya urithi wetu" # mwaka wa yubilee ya wana wa Israeli Hi ni sherehe inayotokea mara moja kila baada ya miaka hamsini. Katika sherehe hii, ardhi yote iliyouzwa lazima arudishiwe mmiliki wake wa kwanza. # mgao wao utaunganishwa "mgao wao utakuwa mali ya..." # mgao wao utaondolewa kwenye mgao wa mababu zao "watachukua mgao wa ardhi wa kabila letu"