sw_tn/num/35/12.md

219 B

mlipa kisasi

mtu anayetaka kulipa kisasi kwa kumwua mtuhumiwa

ili kwamba mtuhumiwa asije akauawa bila kwanza kusikilizwa na jamii

"ili kwamba mtu yeyote asije akamwua mtuhumiwa kabla jamii haijamhukumu barazani"