sw_tn/num/35/12.md

8 lines
219 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mlipa kisasi
mtu anayetaka kulipa kisasi kwa kumwua mtuhumiwa
# ili kwamba mtuhumiwa asije akauawa bila kwanza kusikilizwa na jamii
"ili kwamba mtu yeyote asije akamwua mtuhumiwa kabla jamii haijamhukumu barazani"